Muba shara
Senior Member
- Feb 5, 2017
- 167
- 122
😛😛😎Bora wanaume sasa hao wanawake wanawake ndo wanahangaika zaid
Mara makucha, makalio bandia, nywele bandia, matiti bandia, mitembeo bandia [emoji23] [emoji23]
Waache wanaume waitwe wanaume tu maana tunawapa Shida wanawake sana wanahangaika na make ups wakati sisi tunaanza kuhamia kwenye kupenda matako makubwa!! Hii vita ngumu sana
Mwanamke anakomaa kukuza matako cha ajabu kila siku tumbo ndo linazidi kua kubwa kuliko matako[emoji23] [emoji23] [emoji23]