Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Tohara kwa jinsia ya kiume ina faida zifuatazo kiafya
- Inarahisisha kusafisha uume
- Inapunguza uwezekano wa kupata maambukizi ya njia ya Mkojo (U.T.I)
- Inapunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya zinaa ikiwa ni pamoja na UKIMWI
- Inapunguza uwezekano wa kupata kansa ya uume na kumpunguzia mwenza uwezekano wa kupata kansa ya kizazi