Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Jun 25, 2014 #1 Tohara kwa jinsia ya kiume ina faida zifuatazo kiafya Inarahisisha kusafisha uume Inapunguza uwezekano wa kupata maambukizi ya njia ya Mkojo (U.T.I) Inapunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya zinaa ikiwa ni pamoja na UKIMWI Inapunguza uwezekano wa kupata kansa ya uume na kumpunguzia mwenza uwezekano wa kupata kansa ya kizazi
Tohara kwa jinsia ya kiume ina faida zifuatazo kiafya Inarahisisha kusafisha uume Inapunguza uwezekano wa kupata maambukizi ya njia ya Mkojo (U.T.I) Inapunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya zinaa ikiwa ni pamoja na UKIMWI Inapunguza uwezekano wa kupata kansa ya uume na kumpunguzia mwenza uwezekano wa kupata kansa ya kizazi
W WANKIE JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 987 Reaction score 319 Jul 30, 2014 #2 baraka govi said: Ctahiri ng'o Click to expand... Kaa na govi lako!