Faidika na kilimo cha matunda

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
MICHE YA MATUNDA YA MUDA MFUPI SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU TANZANIA

FAIDIKA NA KILIMO CHA MATUNDA 🍎πŸ₯­πŸŠπŸŒ²πŸŒ΄

🌴 MATUNDA NI CHAKULA
🌲MATUNDA NI DAWA
🍎 MATUNDA NI UTAJIRI

Jipatie Miche Bora ya matunda kutoka kwa wataalamu wakilimo waliochagua na kupendekeza Miche inayostahimili ukame na ya muda mfupi lakini mazao mengi

MAWASILIANO
Unaweza kuwasiliana nasi kwa kupiga simu namba
0752799673 AU 0746850361
Pia Tunakukaribisha kutembelea bustani yetu iliyopo Morogo SUA ...
Kwa ajili ya kupata elimu pamoja na huduma ya Miche boraa ya Matunda Kama vile:
Embe.
Parachichi
Chungwa
Papai
Komamanga
Passion (yellow & purple)
Ndimu kubwa
Limao
Chenza
Stafeli
Tope tope
Migomba n.k
Miche yote ni ya muda mfupi na bei zetu ni sh 2500 tu Kwa mche

TUTAKUTUMIA MKOA WOWOTE ULIPO.
 
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, nahitaji kufaham ni muda gani mbegu za passion zinachukua mpaka mda wa kuvuna.

Na ni msimu gani unastahili kupanda ili nije kupata faida kwenye mavuno yangu.

Na ni miche mingapi ntapanda kwenye eneo la meter 20/20 (yaani 400mΒ²)?

Gharama zi mbegu zimekaaje?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Akikujibu naomba unitagi please
 
Kutoka kupanda mpaka kuanza kuokota matunda ni miezi tisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…