Failed Attack by Alshabab in Garissa (Shambulizi )

Magaidi wamevaa 'sendozi',hahah

Wavaa vipedo ni shida saaana kwa kweli.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ndio mnabojidanganya hivo!!
hehehehehe.. Hahahahaha...
mapicha ya tangu mwaka 2013 haya.
al shabaab wanaume wa shoka wale. Hawajawahi kuingia kenya kizembe.
na mtawakoma tu.
SHETANI USHINDWE..
 
Nahisi kutakua na serial attacks.

Kenya jipangeni.

Raia muwe macho muwe fasta kutoa taarifa.
 
Waislamu mna tabu sana.
ndio mnabojidanganya hivo!!
hehehehehe.. Hahahahaha...
mapicha ya tangu mwaka 2013 haya.
al shabaab wanaume wa shoka wale. Hawajawahi kuingia kenya kizembe.
na mtawakoma tu.
 
Ndugu zetu wakenya,, hakuna mtanzania Mwenye akili timamu anaweza unga mkono juhudi za mauwaji ya watu wasio na hatia yanayo ongozwa na AL-SHABAABU,,,

Ila pia nanyia punguzena majivuno,,sasa unaweka picha za 2013 unasema mmeuwa jana watu tunafurahi kumbe copy za miaka kenda,,

Punguzena sifa zisizo na tija,,helo ni Janga la Taifa kuweni makini
 
ndio mnabojidanganya hivo!!
hehehehehe.. Hahahahaha...
mapicha ya tangu mwaka 2013 haya.
al shabaab wanaume wa shoka wale. Hawajawahi kuingia kenya kizembe.
na mtawakoma tu.

Padri Mcharuko bana...!

Kweli shetani hawezi kukosa mashabiki.
 
ndio mnabojidanganya hivo!!
hehehehehe.. Hahahahaha...
mapicha ya tangu mwaka 2013 haya.
al shabaab wanaume wa shoka wale. Hawajawahi kuingia kenya kizembe.
na mtawakoma tu.
Very stupid comment

You think you safe huh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…