joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Outrage as Kenyan minister re-appoints dead man
Robert Kochalle, who died in 2018, re-appointed as a board member of film body.
Hahahaha, jamaa alishakufa miaka miwili iliyopita, lakini waziri hana habari, anampa cheo na kutangaza jina lake ktk magazeti, hivi kweli Kenya ni nchi au ni genge la wahuni wanaongoza nchi?.
Habari za chini chini zinasema kwamba, huyu Waziri aliyefanya uteuzi huo, alikua ni miongoni mwa watu waliohudhuria mazishi ya huyo jamaa, kwasababu kabla ya kifo chake alikua ni naibu Waziri wa wizara hiyo hiyo, ila kwasababu ni kabila moja, alifanya makusudi kwa lengo la kuisaidi familia ya huyo mtu kupata mshahara wake." Failed state."