Failed states index : Kenya yashika nafasi ya 17

what is it? You wanted the source, have you seen it?
I have seen it, am just amazed at that phrase that you used. Anyway, I still don't see your point, that peaceful Tz is lagging behind volatile Kenya, in all parameters, since independence? Is that it?
 
I think you haven't read the whole article. Either that or your command of the English language is much poorer than I thought. Different criterias were used for each country, it is not an overall analysis using the same yardstick. Thats why 'peaceful Tanzania' is still on the list. Do I have to explain even such simple matters?
 

ACHA TUJARIBU KITU TOFAUTI. TUMECHOKA NA BUSINESS AS USUAL.
 
ACHA TUJARIBU KITU TOFAUTI. TUMECHOKA NA BUSINESS AS USUAL.
Ndio maana nikasema all the best, jaribuni udikteta. Wenzenu tulishatoka huko zamani na tulichoka sana, hatuna tena hamu ya kurudi nyuma kwenye enzi hizo.
 
Ndio maana nikasema all the best, jaribuni udikteta. Wenzenu tulishatoka huko zamani na tulichoka sana, hatuna tena hamu ya kurudi nyuma kwenye enzi hizo.

kENYA HAKUJAWAHI KUWA NA UTAWALA WA KIIMLA. HATA SISI HATUJAWAHI KUWA NA UTAWALA WA KIIMLA. MIFANO KATIKA UKANDA HUU NI ZAIRE YA ZAMANI NA MALAWI YA PRESIDENT UMUYAYA DR. HASTINGS KAMUZU BANDA.
NCHI IKIWA KWENYE UTAWALA WA KIIMLA WALA HAUFIKIRII KUWA KUNA SIKU KIONGOZI ATAACHIA MADARAKA. KITU AMBACHO TANZANIA HAIJAWAHI KUFIKIRI KUWA NA RAIS WA MILELE.

MTUACHE TU NA JEMBE LETU LIFANYE KAZI. YEYE ANAJUA ZAIDI JINSI NCHI YETU ILIVYOKUWA INANYONYWA. RAIS WETU ANA MOYO MKUU SANA, ANGEKUWA WA KAWAIDA PENGINE ANGEAMUA KUUNGANA NA WEZI ILI BIASHARA AS USUAL IENDELEE. LAKINI YEYE KAAMUA AENDE NA MLENGO TOFAUTI. NA HAKIKA ATAFANIKIWA. LICHA YA KUWA NAN KAZI NGUMU SANA YA KUBOMOA BANDIT ECONOMY ILIYOANZA KUOTA MIZIZI HAPA TANZANIA.
TUMUOMBEE KILA LA KHERI ILI AFANIKIWE KWA MANUFAA YA WENGI.
 

It's very easy to identify a bs ranking.

Kenya, East Africa's largest and mightiest economy, is ranked worse than Burundi, Eritrea, Niger, Myanmar, Libya, etc.
Countries that are almost always at war.
 
CAPS ni za nini tena jombaa? Unamjua Daniel Toroitich Arap Moi na chama chake cha Jogoo, KANU? Unajua Raila alitupwa korokoroni kwa miaka mingapi? Unajua walichomfanya Kenneth Matiba akiwa jela hadi akapata stroke? James Orengo na wenzake walienda exile kwanini? Moi alikuwa dikteta, na hatuna hamu na mambo kama hayo tena.
 
These are think tanks, can't do silly mistakes they way you think, why should they go wrong only with Kenya while other countries are OK?.

It is normal for you Kenyans to criticize anything which you think is painting bad image towards Kenya.

This group is respected world wide, it can't use different criteria in one research, unless you haven't done any training on research methodology. One biggest principal in comparison is that, the same criteria must be used to judge them.

NB; It is my first time to hear criterias, criteria is plural of criterion, you don't know English either.
 
Tanzania Tops Region in Democracy Index
Hii ni ripoti ya 2018
 
Kumbe umejua laana ya corruption inakula nyama zenu sasa corruption ililetwa na Mungu au binaadamu????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
I have seen it, am just amazed at that phrase that you used. Anyway, I still don't see your point, that peaceful Tz is lagging behind volatile Kenya, in all parameters, since independence? Is that it?
ooh that was my defense, it wasn't me who told on you, it was the us
 
Ndio maana nikasema all the best, jaribuni udikteta. Wenzenu tulishatoka huko zamani na tulichoka sana, hatuna tena hamu ya kurudi nyuma kwenye enzi hizo.
Udikteta wewe unaujua kweli??? Yani magu akifanya maendeleo akiwa mkali kwenye rasimali za nchi kashakua dikteta hahah kweli mwaka huu ngoma imewakalia kushotoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Criterias is correct, now you know. The main point is, always read and understand before commenting. Its evident, from your comment above, that you still haven't
done that.
 
Udikteta wewe unaujua kweli??? Yani magu akifanya maendeleo akiwa mkali kwenye rasimali za nchi kashakua dikteta hahah kweli mwaka huu ngoma imewakalia kushoto
http://www.africanews.com/2018/02/1...-threatening-national-unity-catholic-bishops/ [emoji115][emoji115][emoji115] Vitengo vya usalama vinatumika kuminya uhuru wa kisiasa, mikutano, shughuli za vyama vya upinzani zimepigwa marufuku. Ukandamizaji wa wanahabari, media kadhaa kufungwa kabisa. Serikali kutoheshimu kabisa katiba na sheria za nchi. Hayo hapo ni malalamishi ya maaskofu wa kikatoliki Tz, mapema mwaka huu. Mungu awalinde wasije wakapelekwa kwa Baba yao kabla ya muda wao kuwadia.
 
kuna logic moja inahusiana na masuala ya physics katika upande wa velocity.

chukua kipande cha tofali halafu panda nacho juu ya jengo la KICC hapo nairobi.

ukifika juu ya jengo, kiachie kidondoke kuelekea chini, halafu tathmini nguvu ya uvutano inayotumia kipande hicho cha tofali kuelekea chini.

jibu utakalopata jaribu kulihusanisha na suala la kenya kuwa/kuelekea kuwa failed state.

kenya inashuka chini kwa kasi sana.
 
Sheria gani imekiukwa tanzania, ujue mm hata sikuelewi bro tatizo lenu nyinyi hamuependi kuona tanzania ikiendelea ndio maana hamukosi sababu za kipuuzi hata uganda alipowanyima pipeline na SGR mukaona muanze kuingilia siasa za uganda wakati siasa zenu zinawatoa mavi, ndio mulivo nyinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…