pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hii chorus naijua vizuri, ndio maana nikakuekea taarifa kutoka kwa maaskofu wa kikatoliki Tanzania.Sheria gani imekiukwa tanzania, ujue mm hata sikuelewi bro tatizo lenu nyinyi hamuependi kuona tanzania ikiendelea ndio maana hamukosi sababu za kipuuzi hata uganda alipowanyima pipeline na SGR mukaona muanze kuingilia siasa za uganda wakati siasa zenu zinawatoa mavi, ndio mulivo nyinyi
Maaskofu ni binaadamu kama wewe nashangaa unahangaika na vitu vya kipuuzi wakat watanzania walio wengi wanafurahia matunda ya magufuli kwenye kila sector😂😂😂😂😂😂Hii chorus naijua vizuri, ndio maana nikakuekea taarifa kutoka kwa maaskofu wa kikatoliki Tanzania.
Kwahivyo hao maaskofu, viongozi wa kidini, sio watanzania? Jombaa, kuna lile Jukwa la Siasa, jaribu kueneza hizi porojo zako huko.Maaskofu ni binaadamu kama wewe nashangaa unahangaika na vitu vya kipuuzi wakat watanzania walio wengi wanafurahia matunda ya magufuli kwenye kila sector
CAPS ni za nini tena jombaa? Unamjua Daniel Toroitich Arap Moi na chama chake cha Jogoo, KANU? Unajua Raila alitupwa korokoroni kwa miaka mingapi? Unajua walichomfanya Kenneth Matiba akiwa jela hadi akapata stroke? James Orengo na wenzake walienda exile kwanini? Moi alikuwa dikteta, na hatuna hamu na mambo kama hayo tena.
Hayo ni mawazo na akili yakoNangoja source ya taarifa, au link ya source na iwe ni habari fresh za 2018. Meanwhile..... nchi ya kidikteta na ambayo inanajis katiba yao na kutupilia mbali haki za kibinadam kila uchao hapa Afrika mashariki tunaifahamu vizuri. Perfect recipe for a ripe banana republic.
Nawashangaa sana wakenya ndugu zangu kupoteza muda kujicompare na other east African countries....you have said here and elsewhere that you are ahead of everyone, Can't you see that? Today you are even ahead of USA, what do you want?I am saying Kenya is more likely to fail as a state than the United States and Tanzania
Heheee kama wivu na roho mbaya limafanya nchi iwe failed state basi Tanzania ime~qualify. Binafsi najua kwamba wivu ni rasilimali Tanzania. Roho mbaya mnazo kwa sababu mliteketeza viumbe walio hai.uhayawani usio na kifani.
Hi 👋 long time jirani.Janerose hebu vifaranga au viumbehai uende USA bila valid permit uone.
Umesahau juzi tu bungeni NO inakuwa YES.na watu wakapokea fedha chooni .ule siyo udikteta !!!!?Ndio maana nikasema all the best, jaribuni udikteta. Wenzenu tulishatoka huko zamani na tulichoka sana, hatuna tena hamu ya kurudi nyuma kwenye enzi hizo.
Aisee. Mbona mnatumia nguvu nyingi hivyo kunipinga. Mkiona hata sehemu moja ambayo Kenya inahusishwa na jina udikteta mnitag tafadhali.Umesahau juzi tu bungeni NO inakuwa YES.na watu wakapokea fedha chooni .ule siyo udikteta !!!!?
Hayo ni mawazo na akili yako
Ihusishwe na nani tena wakati Kenya imekua ranked very low katika nchi zenye demokrasia duniani, ukigeuza kichwa chini miguu juu maana yake Kenya inashika nafasi za juu sana katika udikteta, hiyo ni kwa mujibu wa ranking za UN, sio za mitandaoni.Aisee. Mbona mnatumia nguvu nyingi hivyo kunipinga. Mkiona hata sehemu moja ambayo Kenya inahusishwa na jina udikteta mnitag tafadhali.
kwahiyo mbunge akisema NO ikawekwa YES huo sio udikteta.Aisee. Mbona mnatumia nguvu nyingi hivyo kunipinga. Mkiona hata sehemu moja ambayo Kenya inahusishwa na jina udikteta mnitag tafadhali.
Una bandle nishushe mavideo ya kufa mtu najua hutaendeleakwahiyo mbunge akisema NO ikawekwa YES huo sio udikteta.
Vipi ile kamati ya kushughulika na issue ya SUGAR (doctored document)mpaka spika anaona aibu
Ndio hawa wale ambao mpo kwenye ligi moja nao kidemokrasia. Democracy in crisis 2018, nchi kumi ambazo zipo kwenye Human Rights Watch.Ihusishwe na nani tena wakati Kenya imekua ranked very low katika nchi zenye demokrasia duniani, ukigeuza kichwa chini miguu juu maana yake Kenya inashika nafasi za juu sana katika udikteta, hiyo ni kwa mujibu wa ranking za UN, sio za mitandaoni.
Sasa bunge la Tz zaidi ya kusema ndiooo na kukata mauno ni nini huwa wanafanya cha ziada?kwahiyo mbunge akisema NO ikawekwa YES huo sio udikteta.
Vipi ile kamati ya kushughulika na issue ya SUGAR (doctored document)mpaka spika anaona aibu
Hakuna anayepinga kwamba Magufuli anakandamiza Uhuru wa kisiasa na kujieleza, lakini pamoja na hayo yote, bado Tanzania ipo huu ya Kenya, sasa jiulize Kenya ipo katika hali gani?Ndio hawa ambao mpo kwenye ligi moja nao kidemokrasia. Democracy in crisis, Human Rights Watch.
Hi 👋 long time jirani.
Sina muda wa kubishana kuhusu masuala ambayo yapo wazi. Ndio maana nikakuambia kwamba kwenye demokrasia hakuna zaidi ya Tz ukanda huu wote.Hakuna anayepinga kwamba Magufuli anakandamiza Uhuru wa kisiasa na kujieleza, lakini pamoja na hayo yote, bado Tanzania ipo huu ya Kenya, sasa jiulize Kenya ipo katika hali gani?
Ninyi bunge lenu zaidi ya kuwa ni kambi zinazowakilisha makabila nini zaidi wanachosaidia nchi?, Wabunge wenu ndio vinara wa rushwa na kujiongezea allowances wakati, rushwa, ukabila, nepotism, crime na police killings vikitamba nchi mzima.Sasa bunge la Tz zaidi ya kusema ndiooo na kukata mauno ni nini huwa wanafanya cha ziada?