Fain mahakamani

Fain mahakamani

ossy

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
872
Reaction score
143
wakuu heshima yenu.. naomba msaada hivi mtu anayepatikana na hatia ya kupigwa fain mfano milioni moja,sheria inasemaje kuhusu kulipa hiyo fain? mfano hai ni kosa la uharibifu wa mali na kapatikana na hatia atalipa yote hapohapo au kunakuwa na makubaliano jinsi ya kulipa? Nawasilisha
 
fine is paid immediatel kama huna fine unaenda jela kama convict hadi ulipe fine.labda mahakama isimamishe kifungo muda fulan hadi ulipe fine.fine hua inaendana na kifungo
 
Back
Top Bottom