brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Leo fainali ya kwanza itachezwa nchini algeria kabla ya marudiano wiki ijayo nchini congo drc . watanzania sammata na ulimwengu watakuwa wanatafuta kuandika historia ya wa kwanza kutwaa taji hilo. sammata yeye anatafuta goli 1 katika mechi hizo mbili ili kuwa mfungaji bora wa africa msimu huu. mechi itachezwa saa 2230 kwa saa za africa mashariki uku supersport watakuwa live. kila la kheri sammata na ulimwengu