Leo fainali ya kwanza itachezwa nchini algeria kabla ya marudiano wiki ijayo nchini congo drc . watanzania sammata na ulimwengu watakuwa wanatafuta kuandika historia ya wa kwanza kutwaa taji hilo. sammata yeye anatafuta goli 1 katika mechi hizo mbili ili kuwa mfungaji bora wa africa msimu huu. mechi itachezwa saa 2230 kwa saa za africa mashariki uku supersport watakuwa live. kila la kheri sammata na ulimwengu
Alger 0:1 TP
Sammata anawasumbua japo wamembana sana
Mfungaji wa goli Kalaba amepewa kadi nyekundu tp mazembe wako pungufu sasa
Huyu dogo wa nchi gani?
TP mazembe wako vizuri sana, sema ni vile wamekuwa pungufu lakini nilitegemea watoke na ushindi wa zaidi ya goli moja
Kalaba ni mzambia, apa itakuwa ngumu kupata ushindi mnono maana tayari wako pungufu alafu ni ugenini labda walinde ili moja au watafute droo
Supersport mkuu