Ata yanga mwakani tutacheza na TP Mazembe final inshaallah.
Kila la kheri Samatta na Ulimwengu
Duh...game niiliacha Mazembe wakiwa wanaongoza goli moja kipindi cha pili mwanzoni...
Haya matokeo mazuri kwa Mazembe, wakiwa Lubumbashi wanatakiwa waanze kuziona nyavu basi Waalgeria watakuwa na mlima wa kupanda
Ata yanga mwakani tutacheza na TP Mazembe final inshaallah.
kwa hisani ya ndoto ya mchanaAta yanga mwakani tutacheza na TP Mazembe final inshaallah.
Ni kweli
Wapo vizuri sana
BTW Jana Samatta Magoli alitupia bao la ushindi wa ugenini.
Natumai wanasoka wengine wa TZ watafuata nyayo za hawa jamaa
marudio tarehe 8/10 tbc1 watakuwa live
Saa ngapi?
Saa ngapi?
Kwann fainali za Africa znachezwa nyumban na ugenii kwann inakua hvo
Saa kumi na nusu jioni ila hiyo ya TBC kuonesha sina uhakika
Mechi saa 10.30 Jioni
Kwann fainali za Africa znachezwa nyumban na ugenii kwann inakua hvo
Simba sc ktk ubora wetu