Uhalisia wa madai haya
Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck umebaini kuwa barua hiyo si ya kweli. Ufuatiliaji kwa njia ya mtandao umebainisha nakala hiyo ya barua haijachapishwa na chanzo chochote cha kuaminika ama CAF wenyewe.
Aidha klabu ya Simba ambayo ndiyo inayoonekana kuandikiwa barua hiyo haijaandika chochote wala kuchapisha barua hiyo katika kurasa zao rasmi za mitandao ya kijamii. Aidha kurasa za mitandao ya mashindano ya Total energies shirikisho na klabu bingwa barani Afrika imekanusha kuhusika na barua hiyo.
Uzushi ile barua ya kwanza ya juzi ilisainiwa na General Secretary, hii president, bonge moja la Kamba.Azam mdaa huu washaanza amsha amsha za mechi na wamesema itacheza Zanzibar, ila mda ndio umebadilishwa badala ya saa kumi na mbili utachezwa saa kumi jioni,ila uwanja ni uleule.CAF wamewakubalia Simba ombi lao na Sasa Finali itapigwa Kwa Mkapa tarehe 25 May, 2025View attachment 3338950
Mkuu, CAF wana msimamo sio kama akina Karia. Nimecheki website ya CAF kwenye press release hakuna kitu hiki. Labda TFF wameambiwa Kwa mdomo.watanzania kuna haja sana ya kujifunza baadhi ya vitu vinavyoshusha heshima ya mtu. Hii tabia ya kukurupuka ku forward forward kila mtu unachokiona inashusha sana heshima hamjui tu
Barua haina stampHio barua ni edited
Hakuna sehemu yoyote CAF wametoa hilo tamko