The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
The following user The Finest says thank you to Blaki Womani for this useful postvijana wapungeze Muda/feza za kuendekeza heshima bar ...... sio unapofika kustaafu unakuwa ombaomba wakati ulikuwa na nafasi nzuri ya kujihakikishia maisha mazuri ya baadae.... hakuna ajuaye atafikisha umri gani isipokuwa aliye juu...... ni bora kujiandaa kuliko kuona hautafika umri fulani je ukifika na ulichemsha itakuwaje? ndio mwanzo wa kusumbua wale waliojiwekea mafao ya uzeeni
Asante sana mbu kwa kutukumbusha hilo............ukiwa hujajianda unaona maisha si kitu tena....vijana tusijisahau tukabaki kujirusha na kuponda raha fainali uzeeni
I adore your THINKING! Kuna maisha mengi sana yanayopotea siku hizi :: Makaburi mengi pale Kinondoni utakuta mapy mapya kabisa yameandikwa
Kuzaliwa : 1970/1980
Kufa : 2010/11
Nyamayao kwa umri ulionao sasa hivi sijui kwangu mimi nitasemaje kuoa bado watoto bado.cku hizi ni wachache sana wanazeeka, cjui kama hata nitafikia huo uzee, cku hizi tunaondoka mapema kweli kweli wachahce ndio wanabahatika kuona mpka wajukuu.
vijana wapungeze Muda/feza za kuendekeza heshima bar ...... sio unapofika kustaafu unakuwa ombaomba wakati ulikuwa na nafasi nzuri ya kujihakikishia maisha mazuri ya baadae.... hakuna ajuaye atafikisha umri gani isipokuwa aliye juu...... ni bora kujiandaa kuliko kuona hautafika umri fulani je ukifika na ulichemsha itakuwaje? ndio mwanzo wa kusumbua wale waliojiwekea mafao ya uzeeni
Hahaha!!! Fidel banaaSasa nimejua kwa nini vibinti vidogo vinang'ang'ania vibabu
cku hizi ni wachache sana wanazeeka, cjui kama hata nitafikia huo uzee, cku hizi tunaondoka mapema kweli kweli wachahce ndio wanabahatika kuona mpka wajukuu.
Nyamayao kwa umri ulionao sasa hivi sijui kwangu mimi nitasemaje kuoa bado watoto bado.
tufanye mambo 50-50, 2wekeze na 2ufurahie ujana jamani lyfe la cku hizi la kupimia sana tofauti na zamani wazee wengi ndo walikuwa wanatwaliwa, ukickia mtoto katwaliwa ni mcba mzito kjjn, cku hizi mambo ya kawaida kabisa hayo, lyfe limebadilika sana, 2wekezw/2furahie ujana vyote pia....
Hahaha!!! Fidel banaa
Well said Dada yanguhahahaah kama bado haupo tayari kwa hilo game tulia kijana. jipange kwanza ukiingia umeingia na akili zako zote.
Fidel sasa unataka Fainali waende na nani?? Lol!!!Mambo ya mafao dah wanawake bana muwage na huruma jamani kababu kanataka kufaidi mafao nyie ndo mnakachuna mpaka ngozi
Halafu mambo ya kujifanya Invisible hautaki kuonekana ngoja nianze kufanya TRACE ROUTE hapa mujini nione nitaishia kukupata kwenye destination ipi i hope hawataniambia "Destination Host Unreachable"
Nyamayao huwezi jua katika hao unaosema wachache wewe ukawa mmojawao...........nii thread ya mbu imenikumbusha machungu sana .............nina ndugu yangu alikuwa ameajiriwa na mshahara na marupuru kibao lakini hakujua ipo siku atageuka ombaomba.....hakupeleka watoto shule kama inavyotakiwa alikuwa starehe na yeye.... amestaafu hakuna alichokifanya hana nyumba wala chumba anapita kila mahali kuomba msaada ukimwona unatamani kumtwanga kibao badala ya kumsaidia anatia huruma watoto nao ndivyo sivyo.....usiombe kukutana na mtu anayekumbana na hili neno FAINALI UZEENI
Vijana huwa mnanipa raha sana mnaponikumbukaga hivi...... Fainali uzeeniHahahahah
Kwanza nam-miss hapa JF na dada LD maana bila yeye mambo maisha yangu hapa JF yangekuwa magumu.
Mimi niko available sana mkuu wangu, hata Maty ananipata kisawasawa ila ratiba za Asprin na Teamo ni kali mno, zinanishinda. Isitoshe mkuu ngoja nilambe likizo utaona fujo zangu, mpaka mtasema basi wenyewe.
Wewe si unapendaga kupanda Toyo . . . hahahah