Nakubaliana na wewe lakini wengine wanapitiliza.....wanajisahau wanaona hapo ndio mwisho
Hahahaha!!! Hebu muulize Babu pensheni yake amewekeza wapi maana tetesi nilizozipata ni kwamba kawekeza maeneo ya ETIENNE'SHahahahah
Kwanza nam-miss hapa JF na dada LD maana bila yeye mambo maisha yangu hapa JF yangekuwa magumu.
Mimi niko available sana mkuu wangu, hata Maty ananipata kisawasawa ila ratiba za Asprin na Teamo ni kali mno, zinanishinda. Isitoshe mkuu ngoja nilambe likizo utaona fujo zangu, mpaka mtasema basi wenyewe.
Wewe si unapendaga kupanda Toyo . . . hahahah
Fidel sasa unataka Fainali waende na nani?? Lol!!!
Hahahaha!!! Hebu muulize Babu pensheni yake amewekeza wapi maana tetesi nilizozipata ni kwamba kawekeza maeneo ya ETIENNE'S
nakubaliana kabisa na hiyo, cjajisahau BW, najitahidi kuwekeza yacnitokee hayo coz ki ukweli inaogopesha huo msoto wa baadae, nipo 50/50..nawekeza na nafurahia ujana pia, najitambua kuwa natakiwa niwekeze but sio kimsoto ile nina elfu 10 nina kiu ya ballantin nishindwe kunywa nikiifikiria niikusanye niongezee kwenye tofali, huo msoto siutaki na naufanyia kazi ndugu yangu
hao wa kujisahau wapo ndugu yangu, tunawaona wengi tu but nadhani inategemeana na ulipotokea, kwa lyfe nililotokea mie kujisahau itakuwa ngumu sana tena sana....
Hivi ukistaafu kazi kwa wahindi unapewa pensheni???
Hahahaha umenifurahisha.............wakati unapata ballantin usisahau maendeleoa mengine........ili fainali uzeeni uendelee na ballantin usije kwenda kwenye ile nyingine ya mtaani sijui wanaita gongo
furahi tu mae uongeze cku za kuishi......huko ctafika aisee, ballantin nayo naiwekezea pia nimeiwekea akiba yake ya huko mbeleni....hahahaha
furahi tu mae uongeze cku za kuishi......huko ctafika aisee, ballantin nayo naiwekezea pia nimeiwekea akiba yake ya huko mbeleni....hahahaha
Kwa wahindi hustaafu ila wanakustaafisha kwa manufaa ya kampuni
Wakikupata hawakuachii lol!!!Waende wazee kwa wazee sio vijana wanadandia fainali za wazee eti na wao watoke vipi
Naona Fidel kamaliza hapa chiniHivi ukistaafu kazi kwa wahindi unapewa pensheni???
Hahahaha!!!1Kwa wahindi hustaafu ila wanakustaafisha kwa manufaa ya kampuni
Unaonaje tukifanya JOINT VENTURE lolUmenikumbsha ngoja na mie nianze kuweka akiba yake ya mbeleni.... inafunguliwa a/c yake hakuna kuwekuwa mpaka fainali
Dah!!! Weee mzee umeniharibia Ijumaa yangu lol!!!!Mheshimiwa Moskwito salamu.
Unasalimiwa na mjukuu wangu mtiifu....
Haya nambie huu uzee unaouzungumzia hapa ni miaka mingapi hasa? Manake mi nna 65 na bado damu inachangamka!.... Nikiona mambo yanaanza kuharibika nachojoa bila kondom ili nife kabla sijaadhirika LOL
Hahaha!!! Ndio maana hata wakati mtu ameishakuwa mzee anaendeleza mambo yake ya ujana ndio maana huwa nasikia wengine wanaambiwa "Huyu mzee sijui vipi ameishazeeka ila bado anaendekeza mambo aliyokuwa anayafanya wakati akiwa kijana"...maishani mambo mawili huwezi yaepuka.
- kuzeeka (...unless ufe, ujiue kabla ya 'siku zako')
- na kifo!
...kwa kiwango kikubwa, maisha ya uzeeni ni tafsiri ya jinsi mtu alivyoishi ujanani. Chunguzeni..