Tetesi: Fainali waliyofika makolo ya kombe la Comred Abiola hawakutoa medali za mshindi wa pili

Mkuu hawa jamaa hawanaga akili wao ni kama nyumbu tu wanakwenda kama moshi angani hua hawa reason kitu chochote.
Yani ucheze fainali na uwe mshindi wa pili afu usipate zawaidi yoyote ambayo itakutambulisha kama mshindi wa pili huu si uzuzu.
 
Fainali waliyofika makolo ya kombe la Comred Abiola hawakutoa medali za mshindi wa pili
Ahaa, afadhali sasa hivi akili zimewakaa mmeanza kukubali kuwa kumbe ni kweli Simba alifika fainali, ila ishu ni medali
1683268024697.png
 
Ahaa, afadhali sasa hivi akili zimewakaa mmeanza kukubali kuwa kumbe ni kweli Simba alifika fainali, ila ishu ni medali
View attachment 2610548
Hata kombe la mapinduzi lina medali huku mtaani kwetu kuna ligi imemalizika na kulikua na medali kwanini nyinyi simba mmefika mpaka fainali alafu hamjapewa medali ??
 
Sasa kama hata kombe la Mapinduzi lina medali, kuna haja tena ya kuing'ang'ania? Tofauti itakuwa nini iwapo kama wewe una akili ya darasa la saba na mtoto wa darasa la saba ana akili ya darasa la saba? Kitakuwa ni kitu cha kujivunia tena?
 
Leta medal acha porojo
 
Makombe yote duniani yana medali kwa mshindi 1 ,2 na wengine mpaka watatu 3 inakuaje simba anakua mshindi wa pili hapewi medali
 
Back
Top Bottom