marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Hawa jamaa wa CAF wameshindwaje kuipeleka hii fainali kwenye taifa lisilo na lockdown
Yani fainali inaboa ipo kama mazoezi yani.
Juzi tu hapa tumeona fainali za EURO huko budapest watu wako full house hadi fainali raia walikua kama ote pale Wembrey
Ila huku kwa CAF wao wameipeleka fainali bila fans,
Si wange ileta tu hata kwa mkapa tuvibe
Caf ni mabogus sana yani..!