Fainali ya CAF Champions League inaboa

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Hawa jamaa wa CAF wameshindwaje kuipeleka hii fainali kwenye taifa lisilo na lockdown

Yani fainali inaboa ipo kama mazoezi yani.

Juzi tu hapa tumeona fainali za EURO huko budapest watu wako full house hadi fainali raia walikua kama ote pale Wembrey

Ila huku kwa CAF wao wameipeleka fainali bila fans,

Si wange ileta tu hata kwa mkapa tuvibe

Caf ni mabogus sana yani..!
 
Fainali ya uefa je ilikuwaje?

Maana hii ni klabu bingwa africa. Ilinganishwe na klabu bingwa za mabara mengine mwaka huu kama ulaya, zimechezwaje?
 
Fainali ya uefa je ilikuwaje?

Maana hii ni klabu bingwa africa. Ilinganishwe na klabu bingwa za mabara mengine mwaka huu kama ulaya, zimechezwaje?
Washabebwa huku waarabu
 
Fainali ya uefa je ilikuwaje?

Maana hii ni klabu bingwa africa. Ilinganishwe na klabu bingwa za mabara mengine mwaka huu kama ulaya, zimechezwaje?
Ninacho linganisha hapa ni nyakati mzee uefa final imepigwa may huko
 
Mpira wa Simba Dar Vs Kaizer ulikuwa mkubwa sana kuliko hii fainali

Na wa south je ulikuwaje? Maana simba na kaizer kila mtu kamfunga mwenzake.

Fainali hii tunaiona mbovu sababu game plan ya kaizer ni kutoucheza mpira kabisa...maana anajua strength ya al ahly. Kama kaizer angesema acheze mpira pound to pound na al ahly angekuwa ashafungwa nyingi mapema sana... mwarabu ukitaka umuweze mchezee kijanja janja
 

Unajuwaje wale hawakupata chanjo? huwezi fanya ujinga wa kuruhusu mashabiki waingie uwanjani wakati ni only 90 minutes za kushabikia na ukasababisha mamia ya mashsbiki waambukizane.

So Huu ujinga upo bongo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…