Fainali ya CAFCC hiiiiiyo inawasubiri Simba

Ndugu mwandishi,nakubaliana na wewe mia kwa mia Simba anaenda kumalizia kazi.
Simba atafuzu kuingia fainali.
Kitu nilichojifunza Kwa Simba hii Kila baada ya hatua wanakomaa zaidi kitaaluma.
Simba hii inaweza kucheza dk 90 bila kufungwa na inaweza kurudisha ikifungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…