Bonde la mpunga unalijua wewe ushawahi kuliona?Pitch mbovu
Vyoo vibovu
Viti vibovu
Mnataka uwanja wa Mkapa ufe kabisa au mna malengo gani na hizi mvua si mnajua panakuaje pale mvua ikinyesha nyie au mmeshasahau?huu uhuni wa kupuuza kutengeneza miundo mbinu ya viwanja vya Tanganyika
Uwanja ule uwekewe Miundo mbinu maji yatoke yasituwameMnataka uwanja wa Mkapa ufe kabisa au mna malengo gani na hizi mvua si mnajua panakuaje pale mvua ikinyesha nyie au mmeshasahau?
Serikali kosa lao nini. Hivyo vilabu vyenu si vijenge viwanja vyao!.Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF
Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho
Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati
Fedha zote hizo zilifanya Nini?
Pitch mbovu
Vyoo vibovu
Viti vibovu
Walioiba pesa zetu watoke wambie radhi na kuukarabati huu uwanja
Au mnafanya maksudi ili matukio makubwa ya kitalii wa michezo yaende kutangaza Zanzibar na sio Tanganyika
Simba ni timu ya Tanganyika ilitakiwa final ya CAF ichezwe Tanganyika sio nchi nyingine ya Zanzibar
Tunataka final ya CAFCC ichezwe Tanganyika na Watanganyika wafurahie timu zao
Wazanzibar waanzishe timu zao ziwe kama Simba na Yanga sio huu uhuni wa kupuuza kutengeneza miundo mbinu ya viwanja vya Tanganyika ili matukio makubwa yakija yaende Zanz
Thubutu yako.Serikali kosa lao nini. Hivyo vilabu vyenu si vijenge viwanja vyao!.
Watanganyika hatuna akili mh! Simba inaenda kucheza nchi ya jiraniSerikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF
Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho
Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati
Fedha zote hizo zilifanya Nini?
Pitch mbovu
Vyoo vibovu
Viti vibovu
Walioiba pesa zetu watoke wambie radhi na kuukarabati huu uwanja
Au mnafanya maksudi ili matukio makubwa ya kitalii wa michezo yaende kutangaza Zanzibar na sio Tanganyika
Simba ni timu ya Tanganyika ilitakiwa final ya CAF ichezwe Tanganyika sio nchi nyingine ya Zanzibar
Tunataka final ya CAFCC ichezwe Tanganyika na Watanganyika wafurahie timu zao
Wazanzibar waanzishe timu zao ziwe kama Simba na Yanga sio huu uhuni wa kupuuza kutengeneza miundo mbinu ya viwanja vya Tanganyika ili matukio makubwa yakija yaende Zanzibar
Watajua wenyewe