Fainali ya CRDB shirikisho kupelekwa Zanzibar ni dharau kwa mashabiki wa Simba

Bara si mmefungia biwanja vyenu sasa wakacheze wap
 
Bara si mmefungia biwanja vyenu sasa wakacheze wap
 
Kiwanja cha mkapa nadhani kinapisha mashindano ya AFCON
 
Rais ni MAMA
 
Subirini Simba day na wiki ya mwananchi nazo hukuhuko kisiwa ndui
 
Mecky aliwahi.kunukuliwa akisema,"...mpira wa nchi hii hauendelei sababu unaongozwa na watu wajinga wajinga".

Unguja tu uwanja ukijaa kwa mechi za bara ujue 80% ni watanganyika wamevuka maji halafu unapeleki mechi Pemba!!

Mpira ni biashara,mashindano yakikosa msisimko hupata wadhamini wa maana!
 
Kila siku nasema hapa jamvini kuwa uongozi "serious" pale Simba uliishia kwa Babra na Hanspope (RIP). Sasa hivi hautasikia kiongozi yeyote wa Simba akilalamika na ikitokea wamebeba hilo kombe ni heri yao. Lakini sasa ije itokee kuwa kombe kabeba Azam watakavyolalamika utashindwa kuelewa hao wanaolalamika ni viongozi au ni wanachama wa kawaida. Niseme tu kuwa kwa sasa Simba uongozi wao umeyumba sana ndio sababu ya kukosa ubingwa mwaka jana na hata mwaka huu mwelekeo unaonekana ni huo huo.
 
Magori bila aibu anasema tumesikia malalamiko ya mashabiki lakini bodi imeshaamua, anashindwa na Babra aliyekataa udhamini wa GSM na akasema hatuchezi na mabango yakatolewa.
MAgori hajui nguvubya Simba yuponkufata maelekezo wala hathamini mashabiki ambao walijichanga kulipa faini za Caf.
Hawq ndio viongozi walipeleka fainali Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…