Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #21
Mechi saa ngapi..
Simba 4 Namungo 2
Manyani fc anzeni kutafuta timu ya kushangilia
Shukrani ndugu, wengine tupo mashambani na tunatumia freebasic..Saa9 kamili jioni
We kuwa na subra utawaona tu kwenye uzi huuMbumbumbu Fc ndio wapi hao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shukrani ndugu, wengine tupo mashambani na tunatumia freebasic..
Zimebaki dakika kadhaa kipute kianze
Simba 2 namungo 1
Namungo 2 Simba 1
Hilo sio la kuhoji sheeInaonekana Simba atashinda leo
HaswaaUshindi wa kishindo sio? Ngoja tuone
39' la 2 BoccoBado 2