Fainali ya UEFA kuchezwa Porto

Fainali ya UEFA kuchezwa Porto

tc_edo

Senior Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
123
Reaction score
98
Na muafaka wafikiwa, fainali ya bingwa wa ulaya (UEFA Champions League) itachezwa jijini PORTO uko Ureno mnamo tarehe 29 may 2021.

Jiji la ISTANBUL, Uturuki ndo mwanzo lilikua limepewa nafasi hii ila kulingana na changamoto ya ugonjwa wa COVID 19 imelazimika kuhamisha mashindano hayo kuepusha usalama wa mashabiki, warusha matangazo pamoja na wageni rasmi wa UEFA.
 
Back
Top Bottom