A
Anonymous
Guest
Siku hizi kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya maafisa biashara wa Halmashauri kwenda kwenye nyumba za kulaza wageni wakisema ni ukaguzi wa mchana. Hivi ikitokea mteja kaacha hata begi akatoka akiwa bado hajajiandikisha unatakiwa ulipe faini.
Hiyo faini sasa unaweza kuta ni zaidi ya 250% ya malipo ambayo wanadai ulitaka kutorosha
Mfano kama chumba chako unapangangisha kwa Tsh 10,000 ukikutwa na kosa unatakiwa ulipe tsh 300,000 tena ndani ya saa 24
HIVI HII NA HALALI KWELI
MLIKIKI KUTOKA HANDENI TANGA