Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Wamepigwa faini ya $20,000 na kutoshiriki kwa miaka miwili. Tumezidi kupoteza ndoto za Vijana na ajira zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya m 45Ni sawa na shilingi ngapi zakitanzania
Million 46Ni sawa na shilingi ngapi zakitanzania
Aaaaaah kumbe ni nying hivyo , watapaswa kulipa ndan ya mda ganMillion 46
Duuh, kutoingia jamvini jana kumbe nimepitwa na mambo lukuki..Wamepigwa faini ya $20,000 na kutoshiriki kwa miaka miwili. Tumezidi kupoteza ndoto za Vijana na ajira zao
hawajapeleka timu Libya mkuu ukata mbaya na hawasemiDuuh, kutoingia jamvini jana kumbe nimepitwa na mambo lukuki..
Wamekutwa na kosa gani?
Ile tetesi ya figisu ya vibali vya kuondoka kumbe haikuwa kweli?hawajapeleka timu Libya mkuu ukata mbaya na hawasemi
TFF wanahusika vipi?Wallace Karia, waziri wa michezo, na uongozi wa biashara wote wanahusika kwa hili. Mpaka muda huu wasingekua kwenye ofisi.
Umemaliza kila kitu ( thread Naona iishie apa)Uzembe wao, shida zao...
Timu nyingi hapa kwetu hazina wataalam, zina endesha kama vigenge vya wasio na dira, wapigaji nk
Mechi ya kwanza wameondoka ondoka tu kishikajishikaj na wakarejea hivyo hivyo
Mechi hii pia wamekuja kutaka kufanya vile vile...
Yule mzamini pale kifuani sijui ana kazi gani? Wange mkopa pesa ya kupeleka timu na kurejesha
CAF wana toa ratiba zao mapema, hivyo ujiandae kusafiri na bajeti zingine, wao bado wana angaikia usafiri mpka Siku ya mchezo kama walivyo Fanya mechi yq awali bila kujua taratibu zipoje na nimuda gani unatakiwa kutoa taarifa
Timu zisizo na viongozi making, hazija jipanga ndio shida zina wakuta...
TFF hatoi pesa, akitoa ni hisani, yeye ni muwakilishi au kiunganishi kt ya mpira wa tz na taasisi zingine za michezo kama cecafa, caf, FIFA nk...
Timu zinapo ambiwa zijitegemee zitafute vyanzo vya mapato vifanye hivyo kweli, sio ujanja ujanja usio na maana...
TFF ana fundishwa kusimamia sheria, ingekuwa TZ hii mechi ingepelekwa mbele sababu ujanja ujanja na watu kuvunja sheria wazi wazi na hakuna wa kuwawajibisha zaidi ya kuingiza siasa na wanasiasa kufanya mitaji yao kisiasa
Sheria zikisimamiwa ipasavyo itasaidia kushtua walio lala...
Kwangu natamani Biashara United msimu huu ishuke daraja kabisa ili wakaanze upya, hawaja jipanga...