Faini za mahakama

tripple L

Member
Joined
Jun 27, 2018
Posts
25
Reaction score
2
Wana jamii habari zenu.

Naomba kutambua kisheria hivi zile faini za mahakamani pale mtu anapokutwa na hatia. Hasa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji na kupewa hukumu na mahakama kwamba alipe faini ya shilingi kadhaa au kwenda jela miaka kadhaa, mfano ile kesi ya dhahabu ya Mwanza, wale jamaa wanne walipaswa kulipa mil 500 au kwenda jela miaka kumi na tano kila mmoja, je huwa ni fomula gani inatumika kupanga hizo faini au ni utashi wa Jaji au Hakimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…