Dogo ndo kwanza ana miaka 27 ila ndo mcheza mpira tajili kuliko wachezaji wote duniani. Faiq ambaye ni kiungo wa timu ya Leicester city utajili wake unazidi wa Cr7 mara 27 wakati anamzidi utajili Lion Messi kwa utajili mara 33.
Huyu ndiye Faiq Bolkiah mtoto wa Sultan wa Bruines Hassan Bolkiah.

Habari yako mbona ina ka uongo kdgo mkuu..
Kwanza dogo ana miaka 21,na vlevle sio mtoto wa sultan,anamwita sultan babu au mjomba kati ya hvyo.
Kwenye utajiri sna ttzo, huyu dgo ni tajiri haswaa