Fair play kwenye mapenzi

MZEE SERENGETI

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
214
Reaction score
10
Ikiwa footballer hubadilishana jezi baada ya Mechi kuashiria FAIR PLAY,JE? Ni kwa nini wazinzi nao wasibadilishane chupi baada ya ngono? Je wewe ungekuwa na chupi ngapi za kike au za kiume.(NI MTAZAMO TU ).
 
siyo wote wanavaa chupi! hasa wanaume! sasa huyo utabadilishana nae nini? au suruali aliyovaa!
 
Au ingekuwa baada ya mechi unaachiwa tundu usoni basi sura za wazinzi zingekuwa kama chandarua.
 
Au ingekuwa baada ya mechi unaachiwa tundu usoni basi sura za wazinzi zingekuwa kama chandarua.

bora hayo matundu kwa mwanaume,
sasa kwa mwanamke reception yote kwishilin!!!!!
 
Hizi posts zingine ni za kitoto kabisa,mtu unakaa unafikiri jambo kama hili,sijui lkn ila naamini ndo maana sisi ni masikini,
 
anza wewe kutuambia
ungekuwa na ngap?
ungeongeza kabat la pili?
 
Jamani mambo mengine muwe mnapeleka kule kwa wakubwa bana hapa tunajadili mambo mengine akkkhhh hizi post zingine bana uvivu hata kusoma. Ubadilishe pichu??? Aakkhhh
 
mh jamani!hawavai wengine chupi?
lazima utakuwa wa bara kama si msukuma basi mjita
siyo wote wanavaa chupi! hasa wanaume! sasa huyo utabadilishana nae nini? au suruali aliyovaa!
 
Jamani tukue kimawazo na kifikra sio kukua miili tu, wakati vichwani kumejaa ujinga mtupu! na hii inafanya viongozi mafisadi kutuona watu tusio na madhara kwao ktk mbinu na mipango yao ya kukamua mali za nchi hii,maana wenye mali wao ni ngono tu! WATANZANIA LET US CHANGE!
 
jamani ukiona thread haikufai iruke au bora urudi kwenye jukwaa la siasa maana humu hata haya yanaruhusiwa tu ilimradi mtu havunji sheria. kila mtu mzima lazima atawazia ngono hata kwa kiwango kidogo.ndio maana kuna majamvi mengi tu humu jamii unachagua tu la kuingia
 
ht 2le 2chup twa kinadada twene 2kamba ruksa kubadilishana?
 
There are under 18 here please!!!!!! Haya mambo ya majibaba na majimama!!!
Siku hizi inaonekana JF kuna mibaba na mimama!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…