Fair play

Fair play

Numero Uno

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
607
Reaction score
1,302
20220213_114710.jpg

Hii sasa ni chuki sio utani wa jadi

Sababu ulikuwa simba ndio unatumia hiyo advantage ili watu waamini?

Simba ilikuwa na team bora na imara sana wacha chuki zako sope
 
View attachment 2118264
Hii sasa ni chuki sio utani wa jadi

Sababu ulikuwa simba ndio unatumia hiyo advantage ili watu waamini?

Simba ilikuwa na team bora na imara sana wacha chuki zako sope
Kwahiyo mkuu unataka kusema huyu ni mtu mzushi na muongo? Lakini kitendo cha wachezaji wa Simba ku perform vizuri sana uwanja wa kwa Mkapa kiasi kwamba mpaka timu pinzani inaona kuwa kuna wachezaji wa maana wa kuwasajili lakini mwisho wa siku wote wanaenda kuwa mizigo kwenye timu zao mpya. Ni jambo la kufikirisha kuna nini nyuma ya panzia kinachowafanya wakina Bocco wabadilike na kuwa kama CR7 kwa Mkapa pekee
 
hata wafanyeje leo makolo laima wachezee kipondooooo
 
Kwahiyo mkuu unataka kusema huyu ni mtu mzushi na muongo? Lakini kitendo cha wachezaji wa Simba ku perform vizuri sana uwanja wa kwa Mkapa kiasi kwamba mpaka timu pinzani inaona kuwa kuna wachezaji wa maana wa kuwasajili lakini mwisho wa siku wote wanaenda kuwa mizigo kwenye timu zao mpya. Ni jambo la kufikirisha kuna nini nyuma ya panzia kinachowafanya wakina Bocco wabadilike na kuwa kama CR7 kwa Mkapa pekee
Mkuu huwa unafwatilia mpira?
 
Mhhh alijua akitoka Simba itakufa lakini maisha yanaendelea na watu hawana haabri nae wamemdharaaaauuu.
 
Sunday [emoji241] [emoji241] [emoji241] [emoji241]
 
Kwahiyo mkuu unataka kusema huyu ni mtu mzushi na muongo? Lakini kitendo cha wachezaji wa Simba ku perform vizuri sana uwanja wa kwa Mkapa kiasi kwamba mpaka timu pinzani inaona kuwa kuna wachezaji wa maana wa kuwasajili lakini mwisho wa siku wote wanaenda kuwa mizigo kwenye timu zao mpya. Ni jambo la kufikirisha kuna nini nyuma ya panzia kinachowafanya wakina Bocco wabadilike na kuwa kama CR7 kwa Mkapa pekee
Vipi kuhusu samata?
 
mbona alifuta posti yake
baada ya dakika 90 ya ule mtanange ikawaje sasa na huo ushauri wake
 
Back
Top Bottom