kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Usione vyaelea vimeundwa, Faisal amekuwa Faisal baada ya kunolewa na kupatiwa huduma stahili. Hakuna sababu ya kumzuia mchezaji asiondoke kwenye timu baada ya kufuata taratibu zote, maana hata wachezaji wakubwa wanazihama timu zao, lakini Kuna wachezaji wakubwa pia wanakwama kuzihama timu zao. Pogba anataka kuhama lakini hahami.
Faisal pia afuate taratibu ili ahame, Yanga inatakiwa imruhusu mchezaji kama vigezo na masharti vitazingatiwa, vikiwemo uhai wa mkataba wake, vipengele vya mkataba, uhitaji wa mchezaji kwa Sasa, dau la kumuuza nk. Hii itasaidia kuweka kumbukumbu (presidency) vizuri kwa viongozi na wachezaji wa Yanga wanaokuja.
Mchezaji hawezi kujiamulia TU kuvunja mkataba bila Club kupata faida stahili. Kama kuna close ya mkataba inampa mwanya Faisal kuondoka ni vema ifuatwe hiyo close.