Faith Kipyegon Kumnunulia Baba Yake Gari

Faith Kipyegon Kumnunulia Baba Yake Gari

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
Mwanariadha wa Kenya , Faith Kipyegon ameahidi kumnunulia baba yake mzazi Gari ya ndoto yake; baada ya kuzawadiwa zaidi ya milioni 85 ya Kitanzania na Rais Ruto Ikulu Jijini Nairobi.

Faith, amezawadiwa pesa hizo baada ya kuvunja rekodi mbili za dunia katika mbio za mita 1500 na mita 5000 huko Paris, Ufaransa.

Riadha inalipa hasa ukiwa na maandalizi bora.
 
Unajua babake faith ni class mate wangu, na tayari nisha mpongeza kwa new car in advance....😊
Nami Faith ni klassmeti wangu nimpongeza pia kwa wazo la kumnunulia mshua ndinga!!
 
Back
Top Bottom