Faiza Ally amfungukia mchumba mpya wa Sugu, adai anahonga mashemeji na mama mkwe

Status
Not open for further replies.
I love you! Oh, I mean your post!
 
"yahitaji akiri ya faiza f..x mheshimiwa kuwaonyesha waheshimiwa wenzake kidole cha kati" so sugu na faiza ni watu wawili wanaofanana akiri na matendo, kwa hiyo mmoja anapomkosa mwenzie lazma kuna kuweweseka.
 
Naiamani siku ifike tuachane na kufatilia maisha ya watu wengine, utasema ana matatizo lakini pengine matatizo yako binafsi ni makubwa kuliko yeiye.
 
yet
 
Sanaa za bongo kick za insta zimehamia jf shikamoo magu
kwani wewe hupo instagram?
halafu humu jf kuna kila aina ya jukwaa azia la biashara gt na ucheshi michezo

kama unajiona mwanasiasa nenda siasani..............................
 
Kama unauwezo wa kupiga vizuri hakuna mwanamke utakae mpiga afu akakusahau, tunapata shida sana especially sisi wanaume wa mikoani wengine tunakumbukwa mpaka leo mikoa ya mbali. Mm binafsi najua shemeji anasili kubwa moyoni na pia hajapewa second chance to apologize kwani kumbukumbu bado haijafuta zile match za home and away
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…