Faiza Ally amvua nguo Ommy Dimpoz

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Jamani sasa bidada roho inamuuma yeye mwanamke na K yake pamoja na kudanga kote mpaka China ila bado maisha magumu, Sasa anamuonea wivu Ommy dimpoz kutoa tigo tu maisha kayapatia kama yote[emoji23], sasa bibi povu la nini si utulie tu ulee watoto mwache Ommy Dimpoz ale bata kwa raha zake . Kama wewe K yako haijakupa chochote kuwa mpole Bhana usituchoshe, mtu si kwa raha zake na kidude cha kwake[emoji23], we kinakuuma nini wivu tu kwendaga kule.

Usijifanye unampa ushauri Ommy dimpoz, we angalia watoto wako uwalee kwenye maadili unayotaka, leave Ommy dimpoz alone , humpati kuanzia sura mpaka Maisha , yan shoga huna hadhi hat ya kuwa housgirl wa Ommy dimpoz[emoji23].


Story iko hvi, Faiza anakwambia Alikua na shoga ake bhana , huyo shoga ake aka fall in love na Ommy dimpoz, Sasa kama mnavyojua moyo ukipenda, bibie kumhonga Ommy dimpoz kama kote, unaambiwa akawa anamsaidia pesa za studio ili tu Ommy atoboe na yeye ajisaidie kimaisha, Sasa unaambiwa baada ya kufanikiwa tu ommy akaanza nyodo bwana , ye Ndo staa mjini utamwambia nini , akamuacha mpaka huyo mpenzi wake . Sasa mambo yakaenda eeh maisha nasikia yakawa magumu hatar , Ommy ikabdi awe anagongea club akiona tu watu Shobo kibao, basi bwana kama mnavyojua mjini hakuna vya bure, bwana mkubwa akapata mwanaume wa kumtunza na kumuweka Ndani kabisa kama mke na mume, unaambiwa Ommy dimpoz safar za ulaya kwake kama Kariakoo, yan pesa kwake sio shida , anahongwa na tajir mzito mjini.

Ila hapa sijaona cha ajabu, Coz jiji zima hakuna asiyejua hii story ya Ommy dimpoz, yan Ommy ni mke wa mtu , tena muke ya Tajiri , sasa sijajua bibie faiza katibukwa na nini mpaka kumtolea povu mwenzie, khaa ama kweli mji mzito huu [emoji23].

Ommy endelea kula bata , achana na muuza mitumba huyo kashafulia anatafuta pa kufia [emoji23]
 
Endeleeni kuzushia watu issue zisizoeleweka hata baada ya kutoka kwenye ibada ya leo

Ndugu yangu hili sio jukwaa la dini, sasa wewe ndugu yangu umetoka kanisan bado tena unasoma umbea? , ama kweli safari ya mbinguni inahitaji moyo kwa kweli , so umeenda kanisan bado tena na umbea wa warumi unataka kusoma? Nyie ndo mnachomwaga mpaka kope, c mchagua kutumikia bwana mmoja unafiki tu mxiee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…