Faiza Ally amwaga povu kisa Zari kupata deal Tanzania

Huna Point. Diapers. —Zari. 5 children. Care. Ona post za watoto wake. Nk. So pumzika. Ndo nyie cha wivu. Mlikuwa mnanyaku lakini kusikia ndo mnadandia hoja. Unajua kahaangaikaje kuipata.
 
Hilo Deal ni la 225 Milion nalijua na aliyeconnect hiyo issue Siyo huyo Dada wala na Huo Mkataba ni WCB na Diamond amehusika sana yaani the whole Team ya WCB inahusika na wakati wa kusaini Diamond was there.. Kwa hiyo kama mtu hajui ni bora akaaa kimya.. Huyo Kijana Mweusi ndiyo Marketing Manager wa Sunda ambaye ndiye aliyeratibu kila kitu..
 
Zari amewekeza kichwani wakati wasanii wetu wamewekeza kwenye "misambwanda" kama kina Wema
Hilo Deal ni la 225 Milion nalijua na aliyeconnect hiyo issue Siyo huyo Dada wala na Huo Mkataba ni WCB na Diamond amehusika sana yaani the whole Team ya WCB inahusika na wakati wa kusaini Diamond was there.. Kwa hiyo kama mtu hajui ni bora akaaa kimya.. Huyo Kijana Mweusi ndiyo Marketing Manager wa Sunda ambaye ndiye aliyeratibu kila kitu..
 
hawajiheshimu celebrate wa bongo hasa yeye mwenyewe hawajielewi wao maisha yao hayana maadili wanakimbizana na siasa hawajui ina effect gani kwenye Kazi zao nani atakupa matangazo
 
Braza am telling you japo umeongea kwa tone ya kuwa na hasira kdogo

Ila wabongo tuna shobo zisizo na msingi
 
Sasa unampaje ubrand manager mtu maarufu wa kugawa papuchi...si wendawazimu huo.

Zari ni brand ya mwanamke anaejielewa. Wale ndugu zetu labda wapewa kazi ya kunadi madanguro na massage centers zinazotoa happy ending.
 
Zari ilibidi nianze kufutilia lifestyle yake baada ya matusi mengi kutupiwa, nilichojifunza huyo dada ana akili, anajielewa, anajiheshimu na kwa kweli anastahili mafanikio aliyonayo na ni mtu anayetafakari sana kabla hajafanya jambo. Ngoja nikaangalie tuko la Wema YouTube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…