Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

Hilo likamba kamba lipo katikati ya miguu ya mtoto ni dude gani hilo. Kama liutumbo vile.
 
Faiza ndiyo mwenyewe makosa kwa kutojua kutunza siri...

Tatizo binadamu ni wabishi sana...
 
Mbona kawekewa PEMPAS itakuwa ALIKUWA anajamba tu.....mtoto hatoki....atakuwa na yale mambo yetu ya KULE LAMU anayo
 
Kama ndo haki sawa, hii sasa zaidi. Sidhani huyo mtoto akijakukua ataacha kumshitake huyo mama
 
Mweny kufaham LENGO LA HUYU BIMAMA/BIDADA kufanya hiv tujuzane,icjekuwa ina............
 
Huu uzi ni bure kabisa, mbona kitumbua hatukioni kilivyonona?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
kweli hizi simu za wachina zinaipeleka Africa na Tanzania ikiwemo kwa kasi sana.

Jamani, naandika comment hii.ila hadi keyboard inakataa nisi type maana hii siyo destruri nzuri kwa mwanamke wa kiafrika hasa mtanzania.

Aiseeeeh, so rude and crazy!!

Madaktari hawana makosa serikali //polisi na wizara inayohusika imkamate tu huyo mwanamke.
 
Watashtakiwa wore....
Madaktari watawajibishwa kwa kukiuka maadili ya kazi yao....sio kila anachotaka mgonjwa lazima umfanyie.....!!!

Faiza atashtakiwa kwa cyber crime kusambaza picha za utupu.
Ingekuwa vizur sanaa ukatuwekea
Kakifungua basi juu ya sheria ya eneo hilo ikoje,
 
Duh, hapo ndio Mheshimiwa Sugu alikuwa anazamia chumvini?


Aiseeeeh!!

Hii ni laaana kwa mtoto maana atatukanwa na kudharirishwa kwa picha hizo ila Baba na Mama hawana kabisa haya!!!

Ni aibu sana.

Siyo jambo la kawaida kabisa nahisi vibaya Sana kwa kitendo hiki.

Amewadharirisha wanawake Aiseeeeh, it's very rude and crazy for sure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…