ObieTrice
Senior Member
- Jun 27, 2017
- 159
- 154
ameandika hv kutoa shukrani
"Alhamdulillah tumeruhisiwa me and my baby we're both fine... wale wote waliotaka kuja hospital tutakua hatupo , nashukuru kwa walio kuja pia sana wapenzi... nashukuru kwa wote waliojaaliwa na ambao hawakujaaliwa yaani ni nafuraha ya mtoto nina furaha kwa mapenzi mnayo nipa basi full burudani once again thank you'll nawapenda sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ @lijunior_ @lijunior_siku moja atakua very proud kujua ujio wake ulikua wa namna hii ☺️☺️☺️ Asanteni watanzania na ambao sio watanzania ndani na nje kwa kweli mapenzi yenu yana nifanya nijifili amazing oh jamani kuna wengine wana sema sio watanzania tu siko fair that makes me even more happy ... nawashukuru watu wa EAST AFRICA WOTE , ASIA ,EUROPA ,MAREKANI ,WATANZANIA NA WASIO WATANZANIA NAWAPENDA ❤️❤️❤️❤️❤️❤️"