kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Kuna mwanaume alikuja mtia mimba huyu bint, huyo jamaa atakuwa jasiri sana
Mtoto wa zinaaameandika hv kutoa shukrani
"Alhamdulillah tumeruhisiwa me and my baby we're both fine... wale wote waliotaka kuja hospital tutakua hatupo , nashukuru kwa walio kuja pia sana wapenzi... nashukuru kwa wote waliojaaliwa na ambao hawakujaaliwa yaani ni nafuraha ya mtoto nina furaha kwa mapenzi mnayo nipa basi full burudani once again thank you'll nawapenda sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ @lijunior_ @lijunior_siku moja atakua very proud kujua ujio wake ulikua wa namna hii ☺️☺️☺️ Asanteni watanzania na ambao sio watanzania ndani na nje kwa kweli mapenzi yenu yana nifanya nijifili amazing oh jamani kuna wengine wana sema sio watanzania tu siko fair that makes me even more happy ... nawashukuru watu wa EAST AFRICA WOTE , ASIA ,EUROPA ,MAREKANI ,WATANZANIA NA WASIO WATANZANIA NAWAPENDA ❤️❤️❤️❤️❤️❤️"
Kuna mwanaume alikuja mtia mimba huyu bint, huyo jamaa atakuwa jasiri sana
Kasahau tu kumtaja ba mtoto sent from my Tecno W3
Wahenga wanadai hata vichaa wanaweza kuzaa, swala ni matunzo, nadhani part 2 ni kutafuta 100m/- ajianike utupu watoto wapate uhakika wa maisha!Watu majasiri acha kabisa
hahahah umeandika target point kwel,aya mapenz cku hz ni mwendo wa kukutana na wale ma X tu!Ukute ni sugu tena..haya mapenzi nyie yasikieni hivyo hivyo..yaani mtu akikwambia sijui simpendi tena demu wangu mwambie sawa then endelea na hamsini zako..
itakuwa bahat mbaya alitaka apige atembee kumbe imedondokea siku mbaya hahahaaaa...Kuna mwanaume alikuja mtia mimba huyu bint, huyo jamaa atakuwa jasiri sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mwanaume alikuja mtia mimba huyu bint, huyo jamaa atakuwa jasiri sana
Sina hakika
Taahira aliyechangamka.