reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Hii guys
Haya mambo ya mjini Daslam socialite Faiza na asieshiwa vituko amelipuliwa na kashfa za utapeli Kwa Baadhi ya watu waliompa Pesa awaletee mzigo kutoka China
Ukimbukwe miaka kadhaa iliyopita alianza biashara ya kwenda China kunnua vitu unampa Pesa anakuagizia then mizigo ikifika unafata
Sasa baasi nadhani hapa kati mambo yaliingiliana sijuii alikumbwa na Nini maana ana madeni na mizigo ga watu mingi wanamdai tu the extent mpk anapelekwa polisi analipa
Yasemekana pia ukimdai sana anakublok paaap,na watu wengi wanalalamika hawalipi na wanadai pesa za Mizigo
Faiza mwenyewee alishakiri kua anadaiwa na alitaka kuuza nyumba alipe madeni watu wakamshauri asiuze alipe pole pole
Kero yake ni kua ukimdai unakula mitusi na blok juu na huna Cha kumfanya ,mtoto wa mjini tenaa...
Jana Naona mange Kamlipua paaap Yaani hizo testimony za watu wanaomdai mpk huruma ,Mungu amsaidiei alipe.
Na Sasa hivi kaanzisha mchezo wa kupeana ila Bado watu wataenda
Nimegundua online business bongo Bado sana wengi wafanyabiashara ni matapeli tapeli tu,na hawana mitaji ya kuovercome losses Incase ikitokea
Ndo maana faiza Leo anaonekana tapeli
Maana pesa hawana isipokua Drama tu za mitandaoni
Lingine unaagiza mzigo January unatumia December
Ila watanzania tulivyo wajinga Bado watu wataendella kuagiza pia Ili bàadae walalamike tu
Watu Sasa hivi hawaogopi Mungu wanafanya wanavojua ,yaani ht umpelelek wapi bad anaendeleza mambo yake
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app