Matatizo yapo na yanaeleweka sababu documents zote zipo, mifumo ya kuagiza mizigo ipo very clear hata likitokea tatizo unaweza hata usijieleze docs zikajieleza what happened. Pia usisahau risks za shipping zipo covered na insurance. Ukisoma conversation za huyo dada na wateja wake utaona tatizo ni yeye.
Kuwa agent unayeaminika lazima uwe na transparency ya kutosha sio blah blah. Umepata bahati ya wateja kukuamini kuliko akina alibaba [emoji851] kwanini usichukulie huo ni mtaji na uaminifu ndio ulinzi kwako.