Faiza Ally, saga continue

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,133
Reaction score
26,766
Staa wa Bongo Movies Faiza Ally ambae ni mzazi mwenza wa Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu' amebandika hili andiko hili mtandaoni, hebu chukua muda wako kulisoma andiko hili, kuna punje utazipata.

Nimepata marafiki wengi wapya - na wengine ni baada ya kuona kipindi kinacho endelea Jana (juzi) na leo (jana) Claud's TV - nataka tu niwaambie kwamba wakati huo wa uzuni na uchungu mwingi ulisha pita sasa hivi niko sawa kabisa na nimekubali matokeo ya maisha yaliopo sasa- na zile tofauti haziko tena na baba mtoto japo hatuko pamoja.

Niwaambie tu kitu kimoja ni kwamba wakati unapo kuwa ktk wakati mgumu wa maisha unakua unaona kama haupiti na kipindi cha siku unaweza ukaona ni Kama mwaka kwa ule uchungu ulio nao- na pia unaweza unafanya Mengi kupitia wakati huo .

Lakini cha msingi na muhimu usijasahau wewe ni nani na una thamani gani ktk maisha yako, ni kwamba lia futa machozi na uendelee na maisha yako - hakuna atakae badili maisha yako zaidi ya wewe - usikubali uchungu uka haribu maisha yako yote.

Jikaze simama na usonge - muweke Mungu karibu fanya vitu unavyo penda basi taratibu utarudi ktk hali yako ya kawaida na usimn'gan'ganie mtu asie kutaka atakuumiza zaidi hata kuhurumia kabisa- mwanaume ni mzuri pale anapo kuhitaji wewe Lakini akikuchoka hawezi kukumbuka hata jambo lako 1 zuri yote yatakua mabaya .. Lakini usiumie sana japo yanaumiza usijione hufai kwa ajili ya mtu mmoja mwingine akikuona wa nini wengine wanasema tutampata lini.

Sasa nina furaha uchungu wa mapenzi uliisha na hauna nafasi tena kwenye maisha yangu nawaza mambo muhimu tu juu ya mwanangu maisha yangu na watu wangu wanao nikubali .... Basi msinipe pole tena maana nimechoshwa na pole kwa kweli - Asanteni - Faiza alimaliza.

Asante Faiza kwa kushare nasi experience yako kuna watu wamejifunza kitu hapa, kila la kheri kwenye maisha yako.

Mzee wa Ubuyu..

Chanzo: Bongo Movies
 
Huyo nae atupisheeee

Anataka umaarufu tu

Kwanza habare ya mujini ni starlisha...yeye akalaleeeeee
 
Ila kaongea 'point' kidogo leo si haba.Ila hua simuelewi anavyopenda kusema kasahau yaliyopita (baina yake na Sugu) mbona anapenda kumzungumzia kila wakati?
Hiyo ni ishara kua bado anamkumbuka na kumpenda pia aache kujidanganya.
 
Analilia posho za mbunge tu hana lolote

Wamemwagwa watu na ndoa zao na kutukuu juu

Itakua yeye bado mbichi kabisa...

Unless aseme sugu hatunzi mwanae


hahahahah wanawake sisi ni sheegderr kwa kweli kuzaa ndio tiketi mwe ! Mengine tunayatakaga wenyewe

 
Yn mi ckapendi kujidaigi mzur wkt sura imekomaa km yangu,ndio ameweza kumaintain umbo na tumbo baada ya uzaz,bt sio sasa ndo anajiona mzuriii wkt sura mbovu
 
Hahaha jamani muoneani huruma Dada wa watu
 
Kumbe huyu bongo movie nilikuwa nashangaa mbona anapewa headline kuzaa na Sugu tu kumbe msanii nijuzeni kacheza filamu gani maana haishiwi jipya mtandaoni mara aanike tattoo mara bikini
 
Kumbe huyu bongo movie nilikuwa nashangaa mbona anapewa headline kuzaa na Sugu tu kumbe msanii nijuzeni kacheza filamu gani maana haishiwi jipya mtandaoni mara aanike tattoo mara bikini
Sijui kama ana muvi ila huku kweny e social media amebamba ....nafakiri labda yupo kimatangazo zaidi hahah
 
Wengi wanapenda umaarufu ila umaarufu hauwapendi...hivi huyu ame-act movie gani? na ni movie ngapi?
 
Kuna ka sentensi kana fundisha hapa naomba ninukuu"Lakini usiumie Sana japo yanaumiza usijione hufai kwa ajili ya MTU mmoja mwingine akikuona wa mini wengine wanasema tutakupata lini"
 
ile show ilirekodiwa zamani sana mwezi wa 12,2014 kitumbo cha zama kilikuwa cha miezi 6.
 
Hapo labda zinamuuma pesa za sugu ,sugu mbaya jamaniiii sijui alimpendea posho
 

ogopa stress za kuachwa alivaa mpaka pampas
 
Huyu Dada simwelewagi yuko kama amedata hv?yaan sugu aliona mbali sn Kwa huyu ajuza akajisepea zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…