Faiza aomba uchumba wa Mbunge Sugu uvunjike

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Masaa machache tangu mbunge Sugu amvishe Pete mchumba wake , aliekuwa Ex wake na mama mtoto wake Faiza Ally amuombea uchumba wake uvunjike ili arudi kwake kwani Bado anampenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masaa machache tangu mbunge Sugu amvishe Pete mchumba wake , aliekuwa Ex wake na mama mtoto wake Faiza Ally amuombea uchumba wake uvunjike ili arudi kwake kwani Bado anampenda
View attachment 993047

Sent using Jamii Forums mobile app

Dogo wacha kupayuka.....bibie Faiza katumia sarcasm tu kujibu maneno ya watu kwani inaonekana watu walitaka kusikia anasema nini.
 
Dogo wacha kupayuka.....bibie Faiza katumia sarcasm tu kujibu maneno ya watu kwani inaonekana watu walitaka kusikia anasema nini.

Aliyekuwa anamtukana mchumba mpya wa sugu ni nani?!

Faiza ana matatizo sana,anashindwa kumove on na kila siku anajinasibu anajiweza!

Akilala Sugu akiamka Sugu
 
Aliyekuwa anamtukana mchumba mpya wa sugu ni nani?!

Faiza ana matatizo sana,anashindwa kumove on na kila siku anajinasibu anajiweza!

Akilala Sugu akiamka Sugu

Faiza alinukuliwa siku za nyuma kuwa hampendi Sugu ila yuko tayari kuzaa naye kwa mkataba tu ili mwanaye apate ndugu.
 
huyu bibiye ukimchukulia serious itakutesa bure ,ni mtu poa tu sema wabongo wanapenda kumchokonoa
 
Njaa mbaya sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sure ..yan faiza hayuko serious... Mtoa mada hajakamilika kwenye issue za kuchanganua mambo

From profile picture to proper future
Wewe unaongea kitu usichokijua
Huyu faiza alikuwa anaomba hiyo mimba itoke huku akimtukana
She is bitter woman na hicho alichoandika kakimaanisha
Usikurupuke mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…