Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Good evening!!
Baada ya interview nzuri Na miss natafuta,tunapenda kuwajulisha kuwa,mnamo saa kumi Na mbili jioni tutakuwa nae bibie Faiza foxy .

Ili kupata viovyo tofauti tofauti tunaomba ushiriki mwema Na wenye hekima kulingana Na umuhimu Na karba ya mgeni wetu Leo.

Asanteni.
 
Mwendo ni ule ule kama wa kwa Miss Natafuta maswali tunauliza papo hapo tunajibiwa ama vipi??
 
Back
Top Bottom