Siku hizi sikuweziiLeo sipati picha kama kitakalika huku...jitahidini kuandika kwa ufasaha sana na wale wa kuchapia Kiswahili na English kuweni makini
Hapa hadi kiarabu kitatumikaNamshauri atumie kiswahili kwa kweli
Nilisahau jose,sirudii tenaHii tabia umeanza lini ya kuacha kunitag??
Naisubiri kwa hamu zoteHapa hadi kiarabu kitatumika
Asijichanganye akachapia chapia Manake faiza ni kifimbo cheza wa JF
Unataka asuse tena[emoji23][emoji23]Mwendo ni ule ule kama wa kwa Miss Natafuta maswali tunauliza papo hapo tunajibiwa ama vipi??
Kichwa kichafu kwani ke,maana hz interview za muoshewa rungu zinahusu ke kwa 99%emmyta Sakayo
Shunie joanah
Linamo ukhuty
Gentries
carbamazepine Kichwa Kichafu
geniveros Neybright stable woman
Na wengineo kujeeeeeniii ila msichapie tu hapa tupo na mwalimu wa waalimu
Santee kipenzi nampendaga tu huyu mamaemmyta Sakayo
Shunie joanah
Linamo ukhuty
Gentries
carbamazepine Kichwa Kichafu
geniveros Neybright stable woman
Na wengineo kujeeeeeniii ila msichapie tu hapa tupo na mwalimu wa waalimu
Hivi dada si uliagaSiku hizi sikuwezii
Unajitoa kwa ID hii ama ile nyingine?😛Faiza akitokea hapa kujibu maswali najitoa JF!
Ahsante sana nimeshakaribia swahiba nipo hapa namsubiria.emmyta Sakayo
Shunie joanah
Linamo ukhuty
Gentries
carbamazepine Kichwa Kichafu
geniveros Neybright stable woman
Na wengineo kujeeeeeniii ila msichapie tu hapa tupo na mwalimu wa waalimu
Wewe ni KE?mbona upo hapa?Kichwa kichafu kwani ke,maana hz interview za muoshewa rungu zinahusu ke kwa 99%
Leo ni kiangalia mara mbilimbili kabla ya kupost la sivyo[emoji23][emoji23][emoji23]Santee kipenzi nampendaga tu huyu mama