Faiza wa Sugu kama Beyonce

galton

Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
80
Reaction score
126
Imekua kawaida ya mastaa wa kike ulimwengu kupiga picha za nusu uchi wakiwa wajawazito na kuonyesha matumbo yao wazi, style hii imejizoelea umaarufu sana hata kwa baadhi ya mastaa nchini Africa wamekua wakiiga mtindo huo.

Sasa hivi imekua zamu ya mwanamama aliyejipatia umaarufu baada ya kuzaa na mwanamuziki ambaye pia ni mbunge, mh sugu aitwaye faiza ally ,mwana mama huyo amejizoelea umaarufu kutokana na life style yake ya kukaa uchi bila kujali yeyote. Hata hivyo staa huyo ameibuka na picha tata akionyesha ujauzito wake wa sasa huku akifuraia ujio wa mtoto huyo mtarajiwa, pozi mnalionaje?? Kakosea au kapatia?
 
Mama na mwana wote wanashinda na vichupi

Kesho na kesho kutwa mtoto asipokuheshimu unamuona mbaya kumbe wala wewe mwenyewe ndio umemjengea hali hiyo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekuja mbio mbio nikijua ni FAIZA FOX,
Kumbe nilikosea kusoma title vizuri.
Utani huo. Naona unamlazimisha tu akucharue
 
sugu hili tatizo ni lake milele
 
Ningekuwa na mwanamke kama huyu ningemuuza hata bila kudai chochote,., kweli mtoto wa Mh .Sugu ndo anashinda na chupi hadi kwwnye media
.
 
Ningekuwa na mwanamke kama huyu ningemuuza hata bila kudai chochote,., kweli mtoto wa Mh .Sugu ndo anashinda na chupi hadi kwwnye media
.
Ungemgawa bac mana ukisema kuuza thamn inaongezeka [emoji23]
 
Ungemgawa bac mana ukisema kuuza thamn inaongezeka [emoji23]
Acha tu mkuu, wanawake kama hawa huwa wanafikiria kwa level gani.. Kwangu hata uwe na tabia nzur kiasi gani bila kuvaa nguo nakuona hayawani tu
 
Inakuhusu nini wake za wenzio, ebu lete hoja za maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…