Faiza wa Sugu kama Beyonce

Inakuhusu nini wake za wenzio, ebu lete hoja za maana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekuja mbio mbio nikijua ni FAIZA FOX,
Kumbe nilikosea kusoma title vizuri.

NDIO HUYO HUJAKOSEA[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hawa ndo wa bongo wetu
Kama hawana wazaz wala,ndugu vile
 
NDIO HUYO HUJAKOSEA[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si unajua ana darasa humu,
Akiongea na wanafunzi wake mimi simo,
Shauri yako,
muombe msamaha haraka sana kabla hajakugeuza kuwa maji hapo kesho.
 


Ila faiza mungu anakuona ujue? Naona umeamua kutuvunja mbavu leo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekuja mbio mbio nikijua ni FAIZA FOX,
Kumbe nilikosea kusoma title vizuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hako katoto ndo kale kabinti ka Sugu?kwanini basi asimchukue mwanae akamwondolea hili balaa lakukosa malezi bora?mama na kichupi huku ana mimba isiyo na baba wa ndoa mtoto anajifunza nini hapo!!!inasikitisha sana.
 
Hako ka Faiza kanaamini kuwa kana mvuto wa kimapenzi hadi kanajianika na chupi zake chafu kwenye mitandao.

Yaani ukikaangalia vizuri hakana tofauti na De Gea Kipindi anaanza kudakia Man U.

(Samahani mashabiki wenzangu wa Man U imebidi niseme ukweli)
 
Mmoja ana mume na ndoa, anazaa watoto wake toka kwa huyo mume wake! Huyu mwingine hana mume na hana ndoa na tayari ana mtoto kutoka kwa mwanaume mwingine tofauti na Mimba ya sasa.Pia Beyonce ni Tajiri.
 
wanaume huku mnaponda wakati akiwatanulia mapaja hapo mtakatika kama kawa.. pamoja na kumponda kidume kumeweka mbegu hapo mtoto azaliwe
 
Na hako katoto kanachobusu hilo tumbo si cha Sugu? Sugu was right kumnyang'anya huyu idiot mtoto
 
Kwa Beyonce umeenda mbali wapo wapuuzi wengine, halafu wapo wapuuzi wenzao wanawaita MA role model zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…