Faiza wa Sugu: Nilikuwa nauza mwili kwa faida

Masikini Faiza stress tu zinamtesa, sugu show you're presence
 
Sugu na Faiza wamepotezana. Sema Sugu kampoteza sana Faiza. Maana akumbuke yule ni mzazi mwenzake
 
Hahah basi ume nikumbusha kitu, skumoja naangalia kipindi TV one nikamuona jokate ana pick her nose kwenye mahojiano na anarudia Mara kibao yaani nilishangaa kwann wasi edit hyo part
 
Hahah basi ume nikumbusha kitu, skumoja naangalia kipindi TV one nikamuona jokate ana pick her nose kwenye mahojiano na anarudia Mara kibao yaani nilishangaa kwann wasi edit hyo part
Teh teh..We uwa hufanyagi kwani?..Umeshapata mwenyeji humu?
 
Hii ni zaidi ya confidence,,huyu anazungumzia hali halisi ya hisia zake na maumivu ya kutendwa ambayo haamini kama yanamtokea yeye,,hii in dalili ya kukosa self control,,,,

Hivi haoni hata wanaomfanyia interview wanataka ajichoreshe as wanajua yuko hatua mbili mbele?
She's okey hata Kama ni kuwa muwazi!!!
Hana kifua na Wala hachagui na kuchambua la kuongea[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umeshawahi kutendwa na mpenzi uliyejitolea kwa kila kitu kwake?
 
Faiza anaponzwa na ukweli wake ila ki-uhalisia wapo wengi kama yeye ila kukausha kwao tunawaona sio mafyatu naamini ukweli unamuweka mtu huru.
Ulichosema ni kweli kuhusu ukweli hakuna kitu kizuri kama kuwa mkweli ila yeye bahati mbaya anaharibu kwenye nguo kama nepi na ile ya natsko nje ukichanga kuwa mkweli plus nguo hizo watu wanamuona chizi.ila ingekuwa moja tu ya ukweli bila nguo naona ingekuwa sawa.kwa upande wangu
 
Huyu dada dish limepoteza uelekeo... no connection🙁
Yani acha tu maskini...mimi nilishindwa kumuelewa siku ya bday kuvaa nguo ya harusi yani achana za nepi na ile nyingine maana nilijuwa binadamu wa kawaida hawezi fanya hivyo.sasa nguo ya harusi mi hoi
 
samahani hvi huyu dada ni mwenyeji wa mkoa gan? yani kabila lake.... na kahistoria kake kwa ufupi, ntashukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…