Jaman huyu dada kiukwel hajielewi maana hatakujielezea hawazi kujitetea.
Aeleza sababu za kukaa uchi
1. Wazaz wake ndio chanzo kwasababu wamemlea hivo maana baba yake hajawah kufanya ibada.
2. Ndio maisha anayoyapenda no matter din yake
3.hata sugu alimpendea hivo hivo.
Pamoja ya yote hajajuta kabisa huyu mwanamke msaidie mwenzenu