Faizafoxy Mwanamke wa shoka, ubishe usibishe

Hapa umevuka mipaka.....sidhani kama ulitakiwa kukashifu kiasi hiki huyu mwanamke na wanawake wote.

Bila shaka unapaswa kuomba radhi.
Kwani haingii period labda awe sio mwanamke, all in all anisamehe
 
Kwani haingii period labda awe sio mwanamke, all in all anisamehe
Wala hukuwa na haja ya kusema haya ....
Ila kama umeamua ni vyema ukakumbuka tu kuwa anayevuja damu mapajani kila mwisho wa mwezi si faizafoxy peke yake.
Mama yako pia anavuja
Dada zako vivyo hivyo
Shangazi zako na kadhalika.
 
Wala hukuwa na haja ya kusema haya ....
Ila kama umeamua ni vyema ukakumbuka tu kuwa anayevuja damu mapajani kila mwisho wa mwezi si faizafoxy peke yake.
Mama yako pia anavuja
Dada zako vivyo hivyo
Shangazi zako na kadhalika.
Sijakataa mkuu kwan wote ni wanawake
 
pia alikua yeriko nyerere siku hz siziyoni post zake mi nilikua namkubal sana

Kwa maana alisi ya udini huyu dada siyo mdini Bali anaipenda dini yake

na anaitetea inapobidi udini au ukabila maana yake ni mbaguzi au ubinafs

sasa huyu dada anachofanya unapogusa imani yake huwa anajitahid sana kutetea kile anachokiamin

kama anavyofanya yeyote juu ya unachokiamin iwe dini au chama

hata wewe kama unaiman na dini au mfuas wa chama sizani kama hautetei hoja inayohusu dini yako au chama chako
 
Nitashangaa sana akija Faizafoxy then asiandike hivi.. TATATIBU=TARATIBU hivi huko shuleni mlienda kusomea ujinga.?!
 
Ama kweli wewe ni bujibuji.yahitaji ujasiri wa hali ya juu kusifia mavi.
 
"nina" Kiswahili ni tusi.
Bi Mkukbwa hapo umepotea..
"Nina" sio tusi kama ulivyosema, ni neno kamili la kiswahili cha zamani likiwa na maana ya "mama".
Kuna maneno mengine ya kale ya kiswahili ambayo hayatumiki tena sana kama neno "umbu" likiwa na maana ya "dada".
Matumizi ya neno "nina" yamebaki tu katika tusi moja maarufu.."k**a nina", hapa mtukanaji anamtusi mama wa mtukanwaji. Walibadilisha hilo tusi ili liende na wakati wakaondoa nina wakaweka "mama yako"
 

Bado hujuwi maana yake, ungeijuwa ungejuwa na maana ya mwina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…