dogo kubwa
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 798
- 695
FaizaFoxy roho ngumu tu hakuna cha zaidi alichonacho...Google chochote unachokitafuta,mada yoyote unayoihitaji kwa fikra unazozitaka wewe utaI pata, leo tuna mwaka 2017 kipi hakijaandikwa..faiza akisoma mada kabla hajachangia anaingia google kutafuta articles zinazokubaliana na mawazo yake,,ambazo hata wewe juu ya lolote utazipata,,akishazipata anaweka link as if ndiyo zimeandikwa au ndivyo mambo yalivyo,,yote katika yote identity yake kama mwanamke ni CREDIT muhim sana anayoitumia sababu mwanaume kubishana na mwanamke NATURALLY atakushinda,halafu na faiza anajidefence kwa dharau as if ana hoja nyingine,ndiyo maana ya kusema ana roho ngumu hata akiwa hana hoja akijishaua,,,,,,,,na mwana fa alishaimba,,,,,,,,,mwanaume kwa dem ni kama mfupa kwa fisi