FaizaFoxy Vs Nyani Ngabu...nani mshindi

mbeba tenga kariakoo& mbeba box NewYork hureeeeeeeeeeeee
BWAHAHAHAHA hope mbeba box atashinda.....akichanganya na zile swagga za AKA aah let wait...
 
Tiketi zinauzwa wapiiiiiiiii :cheer2:
 
Heh! Imekuwa mieleka tena?
Hadi mtazamaji anapigwa.
Kweli kwenye mechi ya mieleka usikae kiti cha mbele

Mimi Maimuna...
I'm a professional rhetorical ass whupper. I don't do it for free unless it's for charity. So f you want to see me in my professional capacity you'll have pay some money.
 
Jana walitupa trela kidogo
mara wakapotezeana
Mie nilishakimbilia juisi zangu za Azam

Jamani naomba kupigwa nipate akili napenda umbea kuliko maendeleo
 
Promota kitu gani
Watazamaji tutachanga
hata ikibidi kuuza viatu vyetu
Mapambano ya aina hii hayatokei kila siku
NN ameamua kujitoa baada ya promota wa Mpambano kutaka kumdhulumu mapato..
 
Umesalimika na mafuriko wewe mla vumbi?
Arifu acha tu.......leo nimejionea mambo acha wee.....hizi nguo za dada zetu mhh kwenye kuruka madimbwi aisee arifu.....mitaa yetu ya kigogo ni balaa maana leo sijui tutalala wepi?....

FF nasikia kaishi majuu canada 20years utamuweza na ingrishi yako ya urban dictionary?
 

Basi lazima gauni alilovaa mamako liko ndembendembe.
 
Ooh sikuona! Ila kwa kweli huo mpambano hata mimi nina hamu nao sana.​


Huu mwakani 2012...wa kufungulia mwaka...mbona mnaharakisha pambano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…